Wednesday, November 4, 2009

Aah! Nimekutoka

Didier Drogba wa Chelsea, (kushoto) akikokota mpira dhidi ya mchezaji wa Atletico Madrid, Cleber Santana wakati wa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, jana. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment