Sunday, November 8, 2009

Funga weweeeeeeeee!

MCHEZAJI wa Barcelona, Lionel Messi akipiga mpira kufunga goli dhidi ya Mallorca wakati wa mechi ya Ligi ya Hispania iliyochezwa uwanja wa Nou Camp mjini Barcelona,jana. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment