Monday, November 9, 2009

Capello atangaza kikosi cha England


London, England
Kocha wa England, Fabio Capello jana alitangaza kikosi cha wachezaji 24 watakaocheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi Brazil itakayofanyika mjini Doha, nchini Qatar wiki ijayo.
Makipa: Ben Foster (Manchester United), Robert Green (West Ham United), Joe Hart (Birmingham City).
Walinzi: Wayne Bridge (Manchester City), Wes Brown (Manchester United), Gary Cahill (Bolton Wanderers), Glen Johnson (Liverpool), Joleon Lescott (Manchester City), John Terry (Chelsea), Matthew Upson (West Ham United), Stephen Warnock (Aston Villa).
Viungo: Gareth Barry (Manchester City), David Beckham (LA Galaxy), Michael Carrick (Manchester United), Tom Huddlestone, Jermaine Jenas (both Tottenham Hotspur), Frank Lampard (Chelsea), James Milner, Ashley Young (both Aston Villa), Shaun Wright-Phillips (Manchester City).
Washambuliaji: Darren Bent (Sunderland), Peter Crouch, Jermain Defoe (both Tottenham Hotspur), Wayne Rooney (Manchester United).

No comments:

Post a Comment