
Shabiki wa Yanga ambaye hakujulikana jina lake akiangaika kufunga bendera yake

Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga.

Danny Mrwanda (kushoto) akimdhibiti beki wa pembeni, Amir Maftah (kulia) wakati timu hizo zilipomenyana Jumamosi

Kocha wa Yanga, Kostadin Papic akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mechi yao dhidi ya Simba. Yanga ililala kwa bao 1-0.

Baadhi ya mashabiki wa Simba waliojitokeza uwanjani Jumamosi wakiishangilia timu yao.

Kocha mkuu wa Simba, Patrick Phiri, msaidizi wake, Amri Said na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakiwa na furaha.
No comments:
Post a Comment